Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

87 MWSHO wanjia ya Mungu ni mbingu

image_pdfsauvegarder en PDF-Saveimage_printImprimer-Print

87

1. Mwisho wa njia ya mkristo ni mbinguni; Yesu ananiongoza salama. Kama shetani akinijaribu nakitazamia kifiko.

Pambio:
Kwetu mbinguni hatutatawanyika, dhambi na mateso hayatakuwapo, Na hatutaona machozi na shida, ila furaha milele.

 

2. Tutawaona walioishinda dhambi, shetani na mambo mabaya, na tutaona Mwokozi mpenzi; tutafananishwa na yeye.

 

3.Nani ataka kufika mbinguni? Yesu ni njia, uzima na kweli. Njoo kwa Yesu! Akuandalia kao la milele mbinguni.

 

4. :/: Malaika wanangoja:/: malaika wanangoja huko mbinguni! :/: Malaika wanangoja:/: kutusalimu: Ā«karibuĀ».

No comments yet.

Leave a Comment