Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

74 MGENI mimi hapa mahali pa ugeni

image_pdfsauvegarder en PDF-Saveimage_printImprimer-Print

74

1. Mgeni mimi mahali pa ugeni, na kwenda mbali mno katika nchi nzuri. Na ni mjumbe huku kutoka Mungu wetu, nina habari ya Mfalme.

Pambio:
Habari yake nzuri sana, furaha yao malaika: ┬źMpatanishwe sasa na Mungu Baba yetu┬╗! Habari yake ndio hiyo.

 

2. Salamu ya Mwokozi kwa kila mtu hapa: Urudi kwake Mungu, utoke utumwani! Ufike kwake Yesu, tubia dhambi zako! Habari hiyo ya Mfalme!

 

3. Mbinguni nchi nzuri, yapita vitu vyote, furaha huko tele na raha ya milele. Ukiamini Yesu uta’pokea huko. Habari hiyo ya Mfalme!

E.T. Cassel
I am a stronger here, R.S. 75

No comments yet.

Leave a Comment