Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

148 NGUVU ile ilishuka juu’ya wanafunzi

image_pdfsauvegarder en PDF-Saveimage_printImprimer-Print

1. Nguvu ile ilishuka ju’ ya wanafunzi wote mjini mwa Yerusalem’ siku ya Pentekoste, lo! Nguvu hiyo ya Mwokozi ni sawa leo; shukuru Mungu!

:/: Karama, karama, karama yake Mungu ni sawa hata leo, ni sawa hata leo!:/:

 

2.Yesu aliwapa ahadi: Ā«Mtapokea nguvuĀ». Na Roho akashuka na wakamsifu Mungu. Walio wenye udhaifu, wakahubiri kwa uthabiti.

 

3. Roho yule aingiapo anatutia nguvu, tupate kwa imani ku’ kushinda yule mwovu. Kwa moyo wenye moto safi tuite watu kwa Mkombozi!

 

4.Uingie sasa rohoni, uwashe moto wako, tupate kusimama kwa usafi siku zote! Ufike sasa kama mbele wakati huo wa Pentecoste!

Leila Morris, 1862-1929
The power that fell at Pentecost, R.H. 219

No comments yet.

Leave a Comment