Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

4 USIKU kabla yakuteswa

1. Kabla ya kuteswa, Yesu Alikusanya wanafunzi wake; Alifahamu kwamba saa yake ya kutolewa ilikaribia.   2. Kwa roho aliona gethesemane, Meteso yake na huzuni...

54 USIOGOPE mateso yako

54 1. Usiogope mateso yako, Mungu anakulinda, bali tazama mapenzi yake, Pambio: Mungu anakulinda Mungu anakulinda siku kwa siku njiani mwake. Anakulinda salama....

75 NILIE msafiri

75 1.Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu. Pambio: Kwangu...

275 E’MUNGU mwenye haki

275 1. E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku katika mambo yote yanayokupendeza! Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka yananitia tetemeko mpaka kufa....

291. MIMI mwenye hatiya nilikombolewa

 291 1. Mimi mwenye hatia nilikombolewa, Mwokozi alipojitoa. Dhambi zangu na zako alizichukua, kwa damu aliniokoa. Pambio: Dhambi zimetundikwa msalabani alipojitoa,...