Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

79 MAISHA mafupi yahuku dunia

79 1. Maisha ya mtu [mafupi] ya hapa dunia yanaifanana safari chomboni. Twapita bahari katika hatari, lakini Mwokozi anatuongoza. Pambio: Ikiwa Mwokozi anatuongoza...

140 UKICHUKULIWA na mashaka yako

1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake. Pambio:Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki!...

173 MAISHA katika dunia

173 1. Maisha katika dunia ni kama kupanda na ‘vuna: Apandaye katika mwili atavuna uharibifu; tukitumikia Mwokozi tutapata thawabu mbinguni; yafaa kuishi na...

238 NIFANANISHWE nawe mwokozi

238 1. Nifananishwe nawe Mwokozi, ni haja yangu iliyo kuu. Ninakuomba, na kwa machozi, nikufuate, Bwana wa juu! Pambio: Nifananishwe nawe Mwokozi, mwenye upendo,...

276. MATENDO ya Mungu yapita fahamu

276 1.  Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, ni nani ayaona wazi? Lakini najua mapito ya Mungu kwa mimi yafaa halisi.   2.Njiani sijui maana ya yote, lakini...