Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

Mchango na Mawasiliano

Tulipata swali kutoka ndugu ambaye alipenda jua namna gani anaweza toa mchango wake wa kifedha juu yakusaidia mu kazi hii ya Nyimbo za Wokovu.

1. Kama uko na carte de credit unaweza saidia kupitia PayPal ifwatayo:

2. Kama hakuna, unaweweza tu andikia inchi yenye uko ndani iliyukuambie jinsi yakutuma mchango wako.

Tuandikiye kwenye: nyimbo@nyimbozawokovu.com

Au ita kwa number hizi:

  1. Congo: Aubain Mwaka +243997774375 et +243854741458
  2. Canada: William Muyuku +1-514-9928390

 

Mchango wowote utasaidia:

Nyimbo za Wokovu inatengenezewa na watu walio jitolea (bénévoles) na ba volontaires, hakuna anayelipwa, ila msaada unaweza saidia kulipa vitu vingine sawa gisi tunaonyesha hapa chini:

  1. Kuimbisha nyimbo (transport, chakula,…)
  2. Promotion ya website fasi mbalimbali (radio, tv, website, facebook, google,…)
  3. Siku zijazo, kutengenezesha telephone app, yenye itasaidia website iwe napatikana offline.

Mungu awabariki.