Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

OROTHA ya NYIMBO

 1. 1 E’YESU mshindaji wa Golgotha   √

 2. 2 KIJITO kiko chenye damu itokayo Mwokozi    √

 3. 3 KISIMA safi sana chatoka msalaba √

 4. 4 USIKU kabla yakuteswa   √

 5. 5 DHAHABU na feza haziniokoi  √

 6. 6 TWA’SIFU Mungu kwa ajili ya damu takatifu  √

 7. 7 MWOKOZI ameutimiza wokovu kwa neema kubwa √

 8. 8 YESU KRISTO asifiwe!   √

 9. 9 NAIAMINI damu yako √

 10. 10 DAMU yako yenye baraka inayotuosha makosa  √

 11. 11 IKIWA wananiuliza msingi wa uzima √

 12. 12 KWA badala yangu kweli Yesu alitoa damu  √

 13. 13 NANI aweza kuniweka huru? √

 14. 14 MWOKOZI wangu ulikwenda juu kukaa kuumeni kwake Baba √

 15. 15 MUNGU moto wako uniutumie √

 16. 16 YO YOTE uonayo huku katika mwendo wako √

 17. 17 UKAE nami giza inafika! √  

 18. 18 MUNGU wetu yu karibu kututia nguvu yake √

 19. 19 MUNGU tunangoja wote Roho yako ‘Takatifu √

 20. 20 BWANA Yesu uniongoze baharini huku chini  √

 21. 21 JUU ya mbingu zote  √

 22. 22 YESU KRISTO bwana wangu  √

 23. 23 NIKITAZAMA kwa imani Mwokozi wangu  √

 24. 24 E’MUNGU mwenye kweli

 25. 25 MVUA yambingu unyeshe

 26. 26 NAKUHITAJI Yesu

 27. 27 UNA uhodari leo wakumufwata Yesu hata ukichekwa sana

 28. 28 NINATAKA kufuata wewe

 29. 29 UNIVUTE Yesu

 30. 30 TARUMBETA lake Kristo linalia pande zote

 31. 31 KATIKA safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi

 32. 32 HAPO nilikua chini katika dhambi nyingi

 33. 33 HURU kama ndege bustanini

 34. 34 KWA pendo lake kubwa alitafuta mimi

 35. 35 NIMEFIKA kwake Yesu

 36. 36 YESU ameniokowa

 37. 37 BWANA Yesu aliniokoa kweli

 38. 38 NILIKWENDA mbali sana

 39. 39 YESU ameingia katika roho yangu

 40. 40 AMENIWEKA huru kweli

 41. 41 SIKU nyingi nilifanya dhambi

 42. 42 BWANA Yesu amevunja minyororo ya maov

 43. 43 JUU ya mwamba umejenga kanisa lako duniani

 44. 44 TUWE tu huru

 45. 45 WAIZRAELI walika’ Babeli utumwani

 46. 46 HAIFAI kuyasumbukia mambo yatakayokua kesho

 47. 47 NIKIONA udhaifu na imani haba

 48. 48 SIWEZI mimi kufahamu sana neema yake Mungu kwangu

 49. 49 NJIA yote naongozwa kwa mkono wa Mwokozi

 50. 50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima                                √√

 51. 51 NAONA amani Golghota alipo jitoa Mwokozi

 52. 52 KWASALAMA baba awalinda watu wake

 53. 53 KATI’ mikono yake Yesu ananilinda katika pendo

 54. 54 USIOGOPE mateso yako

 55. 55 TUPATE kwa nani faraja ya roho

 56. 56 YESU ninakutolea vyote

 57. 57 YESU uliye kufa kwa ajili yangu

 58. 58 UNIPE raha tele kama mto

 59. 59 YESU ninakutolea moyo na maisha yangu

 60. 60 NIHERI kuona ndugu njiani pa kwenda mbinguni

 61. 61 ENYI wetu wa Sayuni

 62. 62 MUNGU nivute kwako

 63. 63 YESU nivute karibu nawe

 64. 64 KIMYA E’moyo wangu

 65. 65 HUKO ju’ ya nyota zote kuna chi yenye mema

 66. 66 WAKRISTO wa nchi zote watakusanyika huko kwa Yesu

 67. 67 TUNAKARIBIA kao la mbinguni

 68. 68 MBINGUNI kwa Mwokozi wangu mwema nitaamka asubuyi moja

 69. 69 JE, Tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordani

 70. 70 KUNA mji uko juu

 71. 71 NIMEKWISHA kuingia nchi nzuri ya ahadi

 72. 72 MIMI mgeni katika dunia

 73. 73 NAJUA njia moja ya ku’fikia mbingu

 74. 74 MGENI mimi hapa mahali pa ugeni

 75. 75 NILIE msafiri

 76. 76 MGENI mimi

 77. 77 NAIFUATA njia ya ku’fikia mbingu

 78. 78 NINAUZIMA wa milele

 79. 79 MAISHA mafupi yahuku dunia

 80. 80 ZITAKAPOTIMIA siku zahuduma yangu nitaona asubuhi ya uzima

 81. 81 ALIPOKUFA Yesu ju’ ya musalaba

 82. 82 NINAJUA chi nzuri

 83. 83 NINAJUA nchi uko juu

 84. 84 NINAKUMBUKA sayuni

 85. 85 TWAPASHA habari ya mbinguni

 86. 86 TUTAONA furaha mbinguni

 87. 87 MWSHO wanjia ya Mungu ni mbingu

 88. 88 MPONYI apitaye wote amefika hapa

 89. 89 NAJUA jina moja zuri

 90. 90 YESU Yesu jina kubwa

 91. 91 YESU jina ili njema lichukuwe siku zote!

 92. 92 YESU! jina ili ninapita kila jina duniani pote

 93. 93 SIKU chache

 94. 94 LO! nuru inapambazuka

 95. 95 NCHI nzuri yatungoja

 96. 96 MWOKOZI wetu aliahidi yakwamba atakuja siku moja kutupeleka

 97. 97 BADO kidogo juwa litapanda

 98. 98 SIKU moja tutaona Utukufu wake Yesu

 99. 99 SIKU moja nitamuona Bwana Yesu

 100. 100 LO! Bendera inatwekwa
 101. 101 E’MLINZI twauliza: ”Yesu atakuja lini?
 102. 102 SAYUNI ulaki Bwanako
 103. 103 SIKU kubwa ya mashangilio inatufikia tena
 104. 104 LO! horini Bethlehemu
 105. 105 WAKATI wa noeli nafika kwenye hori
 106. 106 TUIMBE asubuyi iyi juu yasiku manabii Walioitabiri
 107. 107 ALIPOTESWA Yesu peke’ katika Gethemani
 108. 108 MWANA-KONDOO’ wa Mungu
 109. 109 YESU unionye tena msalaba wako
 110. 110 MWAMBA ulio pasuka
 111. 111 E’YESU sitasahau uchungu wako ‘kubwa
 112. 112 ULINDE roho na nafsi yangu chini ya damu
 113. 113 MSALABANI Mwokozi wangu alijitoa kuniokoa
 114. 114 IMBA habari njema: Mungu apenda wote
 115. 115 PENDO la Mungu ni kubwa                                                          √√
 116. 116 TUIMBIE tumsifu Yesu ju’
 117. 117 NILIPOFIKA Golgotha
 118. 118 NI MWOKOZI mzuri ninaye
 119. 119 TUIMBIE msalaba wa Mwokozi
 120. 120 MSALABANI nilimuona Yesu
 121. 121 YESU nifuraha yangu
 122. 122 MWOKOZI kamili ni Yesu pekee
 123. 123 MWOKOZI mzuri ninaye
 124. 124 NAONA pendo kubwa mno
 125. 125 HALELUYA! nafurahi
 126. 126 E’MTAKATIFU Mungu wamajeshi
 127. 127 NIMEUONA mto safi
 128. 128 NINA rafiki mwema
 129. 129 NINATAKA kumsifu Yesu Kristo aliyeondoa dhambi zangu zote
 130. 130 NINATAKA kumsifu Yesu
 131. 131 MIMI mukristu
 132. 132 YESU mwokozi unanipenda
 133. 133 UFURAHI moyo wangu
 134. 134 WETU wa Mungu
 135. 135 SIFU Bwana
 136. 136 TUINUE moyo tukisifu Yeye
 137. 137 NAFURAHI kwa sababu kati’ damu ya Yesu moyo umetakaswa
 138. 138 SASA tayari kwetu siku yakuokoka
 139. 139 NINAFURAHA kubwa
 140. 140 UKICHUKULIWA na mashaka yako
 141. 141 MWOKOZI wetu anatupa furaha duniani                                           √√
 142. 142 KWANAMNA nyingi nilitafuta kupata raha moyoni mwangu
 143. 143 HERI alisi
 144. 144 SAWA na kisima safi
 145. 145 MUNGU wangu mkuu
 146. 146 KARIBU nawengu nilipotea njia
 147. 147 MWENYEZI Mungu wazamani
 148. 148 NGUVU ile ilishuka juu’ya wanafunzi
 149. 149 UZIMA ninao moyoni daima
 150. 150 NATAKA kupokea baraka yake Mungu
 151. 151 MWOKOZI moto safi
 152. 152 YESU alipolala kati’ kaburi
 153. 153 YESU CHRISTO alifufuka
 154. 154 E’RAFIKI shaka zako zipeleke kwake Yesu √
 155. 155 KATIKA matumaini kwa Mungu wangu nakaa katika raha na utulivu
 156. 156 WALIAMINIO neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji
 157. 157 HAIDURU kwangu uku chini
 158. 158 HERI mtu anayeamini Mungu baba
 159. 159 NASIKIA Bwana Yesu aniita ku’fuata
 160. 160 AHADI zote za Mungu wetu zanasimama hata milele
 161. 161 UMESHIRIKIANA naye Yesu? kama tawi ndani yake mzabibu?
 162. 162 Bwana Yesu
 163. 163 AHADI zote za Mungu zinasimama kweli
 164. 164 IZRAELI wake Mungu
 165. 165 NITAZAMAPO kwa imani
 166. 166 TUKIENDA pamoja
 167. 167 NINAJUA Rafiki mwema
 168. 168 NINA mshirika nafuraha kubwa
 169. 169 ASKARI waimani sisi
 170. 170 NIKIONA shida huku katika safari
 171. 171 MWENYEZI Mungu ngome kuu
 172. 172 SISI tu viungo vya mwili’ moja
 173. 173 MAISHA katika dunia
 174. 174 PENDO kubwa la Babangu linang’aa siku zote
 175. 175 SHAMBA la Mungu limeiva
 176. 176 MUNGU akutaka kati’ shamba lake
 177. 177 NIPE habari ya Yesu
 178. 178 YESU kutoka mbinguni aliingia huku nchi
 179. 179 SIKU moja mavuno yataisha kabisa  √√
 180. 180 BWANA Yesu anatuuliza: ”Nimtume nani mavunoni?”
 181. 181 TUTAZAME kule mbele
 182. 182 KISA cha kale nipe
 183. 183 PANDA mbegu njema
 184. 184 NITAKWENDA mahali pa giza
 185. 185 NEHEMA kubwa ya Mungu wetu
 186. 186 FASNYIA Mungu kazi
 187. 187 TUWAVUNAJI wake Mungu
 188. 188 WENGI wakasema: ‘Bado’
 189. 189 UNIHUBIRI habari njema
 190. 190 KISIMA cha lehi kingali
 191. 191 YAPIGWA hodi kwangu
 192. 192 SAUTI moja iliniuliza
 193. 193 NINENO zuri la ‘aminiwa
 194. 194 USIKIE Bwana Yesu anakuita leo
 195. 195 TUNASIKIA leo habari
 196. 196 USIEIFANYA bidii kabisa
 197. 197 HAPO nilipokua dhambini
 198. 1998 E’MTU mwenye kiu
 199. 199 NJONI wote muteswao
 200. 200 NJONI wote
 201. 201 NJO mwenye huzuni nyingi
 202. 202 NJOO kwa Yesu Mwokozi
 203. 203 HATUA moja kati ya wewe na Mwokozi
 204. 204 PENDO la Mwokozi kubwa mno
 205. 205 YESU Mwokozi aita kwapendo mimi na wewe na wote
 206. 206 RAFIKI yangu tazama
 207. 207 UMGEUKIE Mwokozi
 208. 208 PIGA makengele ya furaha leo kwa sababu mutu ametubu
 209. 209 UWATAFUTE wanao potea
 210. 210 IMBA injili ya Yesu kwa moyo na roho kabisa
 211. 211 NJOO kwa Yesu
 212. 212 SAUTI ya Yesu niliisikia
 213. 213 KAMA unataka kuwa mtu wake Yesu
 214. 214 NAMTAFUTA mwana wangu
 215. 2015 MWENYEZI Mungu anafanya ishara kubwa Duniani
 216. 216 NAFASI ingaliko arusini
 217. 217 BWANA Yesu atakuja kutoka mbinguni
 218. 218 MTOTO mimi ni maskini
 219. 219 ATUMUJUI rafiki mwema
 220. 220 YESU wewe U mchunga wetu
 221. 221 E’MTOTO yainue macho yako mbinguni
 222. 222 BWANA Yesu amesema
 223. 223 NIUHERI bora kumwamini
 224. 224 YESU mwenye pendo kubwa
 225. 225 LO ‘bendera mbele yako
 226. 226 MACHO yangu ya kumtazama
 227. 227 MUNGU aliye mbinguni alitupa kiongozi
 228. 228 WAKATI wa utoto wako
 229. 229 MWOKOZI Mfalme, ulisulubiwa
 230. 230 GOLGOTHA Mwokozi alitundikwa mtini
 231. 231 MWOKOZI alitoa damu kwa’ jili ya waovu
 232. 232 NILIPOFIKA kwa bwana Yesu
 233. 233 TAZAMA Mwokozi aliekufilia
 234. 234 UTUKUFU wa mbinguni niwa heri na amani
 235. 235 TUMEKOMBOZWA katika nchi
 236. 236 DHAIFU mwenye dhambi
 237. 237 MWOKOZI wangu ni mwamba bora
 238. 238 NIFANANISHWE nawe mwokozi
 239. 239 NENO mbaya lisitoke kamwe kwa ulimi wako
 240. 240 NAVUTWA kwake Yesu na ninamufurahiya
 241. 241 SITASHAWISHIWA tena na dunia huku
 242. 242 MAISHA yangu yote nimali ya Mwokozi
 243. 243 UKICHOKA kwa safari ngumu
 244. 244 SAFARI yangu huku ikiwa hatarini
 245. 245 MIKWAJU itiapo giza na kivuli
 246. 246 HESHIMA na sifa zina Baba mbinguni
 247. 247 NAPENDA sana kumushukuru Mwokozi
 248. 248 YESU akiniongoza sitaanguka
 249. 249 ZAMANI mjini mwa Yerusalemu
 250. 250 IKAWA siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu
 251. 251 HERI mimi kwani Mukombozi wangu alitoa dhambi
 252. 252 NINAKUSHUKURU Mungu kwa fadhili
 253. 253 SIKU ya furaha inatufikia
 254. 254 E’ROHO yangu
 255. 255. ZIMETIMIZWA Ahadi njema
 256. 256. ASUBUHI na mapema
 257. 257. SIKU ya kuisikia parapanda
 258. 258. MIKUTANO kubwa gani mlimani
 259. 259. NAFIKIRI siku tutakayofika huko kwetu
 260. 260. MWENYEZI amejenga mji
 261. 261. MSAFIRI uliye njiani
 262. 262. KITAMBO bado – vita itaisha
 263. 263. ENYI kundi lake Mungu
 264. 264. E’MSAFIRI jangwani
 265. 265. TU wasafiri
 266. 266. AYALA naye anayo shauku
 267. 267. BABA nakuomba leo na mapema
 268. 268. E’YESU ingia rohoni kabisa
 269. 269. KATIKA bonde na milima
 270. 270. SIMAMA fanya vita pamoja na Mfalme
 271. 271. UWATAFUTE wenzako wapoteao mbali
 272. 272. NANI ni wa Yesu
 273. 273. NI uheri kumwamini Mungu
 274. 274. NINAFURAHIYA kisima daima
 275. 275. E’MUNGU mwenye haki
 276. 276. MATENDO ya Mungu yapita fahamu
 277. 277. NITAOGOPA nini gizani duniani
 278. 278. NINAINUA macho yangu ka Mungu
 279. 279. UPENDO wake Mungu unatuunganisha
 280. 280. JINA lake Yesu linadumu
 281. 281. YOTE ninayo niliyapokea kwa wema wake
 282. 282. UKIONA kiu sana ujalivu
 283. 283. NIMEYASIKIA mengi aliyoyafanya Yesu
 284. 284. USIMTAFUTE Yesu kati’wafu kaburini
 285. 285. NENO la Mungu ndani ya Biblia
 286. 286. YESU ulikaribishwa arusini
 287. 287. TUNAMTIA mikononi mwako
 288. 288. MUNGU wetu
 289. 289. NINATAMANI kwenda mbingu
 290. 290. BARAGUMU litalia sana
 291. 291. MIMI mwenye hatiya nilikombolewa
 292. 292. KATIKA damu takatifu
 293. 293. NCHI nzuri ya raha ajabu
 294. 294. UTUME Roho yako juu yetu
 295. 295. E’FURAHENI watu wake Mungu
 296. 296. Dhambi hatia zimeondolewa
 297. 297. NIPE saa moja
 298. 298. NINAO wimbo wakunifurahiya
 299. 299. JE umelisikia jina nzuri
 300. 300. MUNGU abariki nyote