Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

222 BWANA Yesu amesema

1.Bwana Yesu anasema: “Dhaifu wewe sana. Mimi ni mchunga mwema”. Na kwa hiyo namwandama. Pambio: Yesu alikufa kwa ajili yangu, aliziondoa dhambi, furaha...

7 MWOKOZI ameutimiza wokovu kwa neema kubwa

1. Mwokozi ameutimiza wokovu kwa neem kubwa, Na juu ya mwamba wa Neno la Mungu Najenga imani. Refrain: Aliniokoa kabisa! Kwa damu alinisafisha. Ninamshukuru...

32 HAPO nilikua chini katika dhambi nyingi

32 1. Hapo nilikuwa chini Katika dhambi nyingi, roho yangu iliona kufa na giza tele. Mungu alikisikia kilio changu huko, naye akanipandisha, kuniponya. Pambio: :/:...

34 KWA pendo lake kubwa alitafuta mimi

34 1. Kwa pendo lake kubwa alitafuta mimi, na alinichukua begani mazizini na nyimbo zao malaika zikajaza mbingu pia. Pambio: Alinitafuta, akaniokoa, akaniondoa matopeni,...

36 YESU ameniokowa

36 1. Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. Kwake ninaona raha, ninataka kumsifu. Pambio: Haleluya, haleluya! Nimefika bandarini. Haleluya, haleluya! Jina lake ni mnara....

37 BWANA Yesu aliniokoa kweli

37 1. Bwana Yesu aliniokoa kweli, ninataka kufuata yeye sasa. Kila siku nimtumikie vema, yeye anipaye roho kwa neema! Pambio: Nafuata njia nzuri ya Mfalme Yesu...

38 NILIKWENDA mbali sana

38 1. Nilikwenda mbali sana, ‘kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana. Pambio: Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi...

40 AMENIWEKA huru kweli

40 1. Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa. Pambio: Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka. Nataka kumtumikia...

41 SIKU nyingi nilifanya dhambi

41 1. Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ‘jili yangu. Pambio: Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua....

42 BWANA Yesu amevunja minyororo ya maovu

42 1. Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ‘jili yangu. Pambio: Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua....

117 NILIPOFIKA Golgotha

117 1. Nilipofika Golgotha nikaiona huko neema kubwa kama mto, neema ya ajabu. Pambio: Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa, ne’ma tele na ya milele, ne’ma...

127 NIMEUONA mto safi

 127 1. Nimeuona mto safi, kisima cha ajabu, ni damu yake Yesu Kristo, inayonitakasa. Pambio: Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka...

142 KWANAMNA nyingi nilitafuta kupata raha moyoni mwangu

1. Kwa namna nyingi nilitafuta kupata raha moyoni mwangu. Unyonge wangu haukukoma ila kwa Bwana Yesu.   2. Na moyo wenye hatia nyingi nilimwendea Mwokozi wangu,...

144 SAWA na kisima safi

1.Sawa na kisima safi, chenye maji mengi, mema, ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake. Pambio: Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni ili niingie humo kwa neema...

149 UZIMA ninao moyoni daima

1. Uzima ninao moyoni daima, uzima ni Yesu Mwokozi, aliyeingia rohoni hakika, akanitilia ‘hodari. Pambio: Nashiba rohoni kwa raha ya Mungu, na moto wa mbingu...

189 UNIHUBIRI habari njema

189 1.Unihubiri habari njema, neno la ukombozi, hata ikiwa siufahamu wingi wa wema! Nilipokuwa katika giza, ndipo Mwokozi alinijia, na akanipa wokovu, raha na tumaini....

197 HAPO nilipokua dhambini

197 1. Hapo nilipokuwa dhambini, niliumwa kwatika roho. Sasa ninafurahi kwa shangwe kwani Yesu ameniponya. Pambio: Ndiyo kazi kubwa ya ajabu: Mwokozi aliniokoa!...

230 GOLGOTHA Mwokozi alitundikwa mtini

230 1. Golgotha Mwokozi alitundikwa mtini kwa’jili ya wote. Na damu akaitoa Mwokozi ili kutangua dhambi. Penye msalaba nilikombolewa kwa damu ya Yesu iliyotolewa....

232 NILIPOFIKA kwa bwana Yesu

 232 1. Nilipofika kwa Bwana Yesu, nikapaaza sauti yangu: “Yesu Mwokozi, unirehemu!” Akaniokoa. :/: Yesu asifiwe! :/: Alisikia kilio changu, Yesu asifiwe!   ...

235 TUMEKOMBOZWA katika nchi

1. Tumekombozwa katika nchi, usikilize vema, rafiki! :/: Tumeokoka tufike juu, taji kutiwa, furaha kuu! :/:   2. Tumekombozwa katika watu, hata tuchekwe kitambo...

236 DHAIFU mwenye dhambi

236 1. Dhaifu, mwenye dhambi, nilipotea njia, lakini Bwana Yesu alinihurumia. Nategemea yeye, najua pendo lake, ajaza roho yangu, ninavyo vyote mwake. Pamio: Ajaza...

250 IKAWA siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu

 250 1. Ikawa siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu. E’ roho yangu umsifu Mwokozi wako Yesu Kristo! Pambio: Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu! Na kwa neema...

251 HERI mimi kwani Mukombozi wangu alitoa dhambi

251 1. Heri mimi kwani Mkombozi wangu alitoa dhambi zote! Shangwe na furaha zanijaza mno, kila siku nafurahi! Kila siku nafurahi! Kila siku nafurahi! Heri mimi...

281. YOTE ninayo niliyapokea kwa wema wake

 281 1. Yote ninayo niliyapokea kwa wema wake unaonea. Namsifu Yesu, namtegemea, aliniokoa kwa neema. Pambio: Niliyekuwa nimetoroka, kwa pendo lake nimeokoka....

296. Dhambi hatia zimeondolewa

296 1. Dhambi, hatia zimeondolewa, yote ya kale yamepita sasa. Damu ya Yesu imenisafisha; ninamfurahia Mkombozi wangu. Pambio Mavazi safi na kao nzuri ninayo huko...