Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

320 Mungu aliacha sisi watu wake walimaji kwa dunia

1. Mungu aliacha sisi watu wake walimaji kwa dunia, aliweka mbegu kwa mikono yetu tuzipande katika watu. Pambio: Kazi yetu yote itapimwa, mwenye shamba ni Yesu...

321 Mwokozi mzuri ni Yesu Kristo, ninamshukuru sana

1. Mwokozi mzuri ni Yesu Kristo, ninamshukuru sana. Alinitafuta kwa njia mbaya, ni mali ya Yesu Mwana. Pambio: Kwa damu nafunguliwa, kwa damu nafunguliwa. Alitoa...

322 Nashika njia ya kwenda mbingu

1. Nashika njia ya kwenda mbingu, mimi msafiri duniani, naishi kwa taabu na mateso mengi. Bali nakaza mwendo nifike mbingu.   2. Ijapo shida zanizunguuka,...

329 Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami

1. Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami, nikutumikie na niende Sayuni. (2x) Pambio: :/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:   ...

330 Yesu alipoenda alituachia kazi

1. Yesu alipoenda alituachia kazi, na sasa tuifanye, kwani wakati wapita. Pambio: Uyainue macho, uyainue macho! Uyainue macho, uyatazame mavuno!   2. Usisimame...

331 Anayeshuhudia kwamba tutafika

1. Anayeshuhudia kwamba tutafika mbingu ni Roho wake Mungu, anayeweka tumaini la kufika mbingu ni Roho wake Mungu. :/: Tumwombe, tumtafute, Ni wetu Yesu alisema...

332 Sawa na wapitaji wa dunia

1. Sawa na wapitaji wa dunia. Tunapita huzuni na shida. Siku moja tutaongozwa naye, hata huko mbinguni kwa Baba. Pambio: Sawa nyota za mbingu tutang’aa, kwa...

333 Sisi huku si matajiri, kwani miaka yapita

1. Sisi huku si matajiri, kwani miaka yapita. Mara nyingi twapata shida, kwani miaka yapita. Tukimwamini Yesu na kumtumikia, tutapata thawabu, kwani miaka yapita....

334 Majira yatuonyesha kwamba

1. Majira yatuonyesha kwamba Yesu yu karibu, ahadi sasa zatimia; tujitayarishe mioyoni. Pambio: :/: Tujiandae sasa, na tujiweka tayari. :/:   2.Dunia yameremeta...

335 Nitafanya nini mimi, siwezi kitu?

1. :/: Nitafanya nini mimi, siwezi kitu?:/: Siwezi kujiokoa, siwezi kujisafisha, siwezi kujigeuza, siwezi kujirefusha, siwezi kujifupisha, na sitajisaidia. Naomba...

1 E’YESU mshindaji wa Golgotha

1. E’ Yesus, Mshindaji wa Golgotha, twakusifu! Bendera ya mapenzi ni Alama ya Kushinda. Ulichukua dhambi zetu juu ya msalaba wako. Twakuhimidi, Bwana na Mfalme!...

6 TWA’SIFU Mungu kwa ajili ya damu takatifu

 1. Twa’sifu Mungu kwa ajili ya damu takatifu, Inayotosha kuonda makosa yetu yote.   2.Wakristo wanakusanyika karibu ya kisima, hawapunguki kitu kanwe, wakaa...

81 ALIPOKUFA Yesu ju’ ya musalaba

81 1. Alipokufa Yesu ju’ ya msalaba wake akaishinda dhambi na uwezo wa shetani. Aliniweka huru, niwe mbali na hatia; na tena atanichukua kwake. Pambio: Mbinguni...

108 MWANA-KONDOO’ wa Mungu

119 TUIMBIE msalaba wa Mwokozi

119 1. Tuimbie msalaba wa Mwokozi, damu yake inatusafisha sana! Tunaweza kuwa huru, kwani Yesu alikufa ili ku’ondoa dhambi. Pambio: Haleluya, anipenda! Haleluya...

124 NAONA pendo kubwa mno

124 1. Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu, ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini. Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu; na niwe mhodari tena...

125 HALELUYA! nafurahi

125 1. Haleluya! Nafurahi, ninaimba kila siku sifa zake Mungu wangu, aliyeniweka huru. Haleluya! Bwana Yesu aliniokoa kweli! Haleluya! Mimi wake, yeye ni Mwokozi...

126 E’MTAKATIFU Mungu wamajeshi

126 1. E’ Mtakatifu, Mungu wa majeshi, leo asubuhi tunaimba mbele yako! E’ Mtakatifu, Mungu wa rehema, Bwana Mwenyezi, tunakuabudu!   2. E’...

129 NINATAKA kumsifu Yesu Kristo aliyeondoa dhambi zangu zote

1. Ninataka kumsifu Yesu Kristo aliyeondoa dhambi zangu zote. Twende sote sasa tumsifu Yeye, na pendo kubwa la Mwokozi! Haleluya! Yu Mfalme ‘kuu! Pambio: Haleluya!...

130 NINATAKA kumsifu Yesu

130 1. Ninataka kumsifu Yesu, Bwana wangu mwema. Aliteswa hata kufa, ili niwe huru kweli. Pambio: Mwimbieni Bwana Yesu kwa upendo wake ‘kubwa! Alilipa deni...

133 UFURAHI moyo wangu

1. Ufurahi, moyo wangu, heri nyingi umepata! :/: Sikitiko limekwisha, Yesu ni wangu nami wake. :/:   2. Ameponya roho yangu, yeye ni mponyaji mwema; :/:...

134 WETU wa Mungu

1. Watu wa Mungu, mshangilieni kabisa, na mwimbieni Mfalme wa mbingu na nchi! Mungu yu nasi kwa pendo kubwa, kamili ili tupate wokovu.   2. Ona ajabu! Mwokozi...

135 SIFU Bwana

1. Tuinue moyo tukisifu Yeye, aliyehukua (sic) dhambi zetu! Yesu, Mkombozi, asifiwe, aliyetufia sisi! Pambio: Yesu! Tumwabudu Yeye! Yesu! Sifu jina lake! Tuimbe...

136 TUINUE moyo tukisifu Yeye

1.Tuinue moyo tukisifu Yeye, aliyehukua (sic) dhambi zetu! Yesu, Mkombozi, asifiwe, aliyetufia sisi! Pambio: Yesu! Tumwabudu Yeye! Yesu! Sifu jina lake! Tuimbe...

137 NAFURAHI kwa sababu kati’ damu ya Yesu moyo umetakaswa

1.Nafurahi kwa sababu kati’ damu ya Yesu moyo umetakaswa, nimepata amani. Pambio: Haleluya! Haleluya! Mkombozi asifiwe! Haleluya! Haleluya! Haleluya! Amina! 2.Sina...