Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

217 BWANA Yesu atakuja kutoka mbinguni

217 1. Bwana Yesu atakuja kotoka mbinguni, atawachukua wote wanaomwamini. Pambio: Kama nyota za mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya...

218 MTOTO mimi ni maskini

218 1. Mtoto mimi ni maskini, lakini nafurahi kwa kuwa Baba yangu mwema ananitunza vema.   2. Babangu anipenda sana, anionyesha njia. Upendo wake unapita uzuri...

221 E’MTOTO yainue macho yako mbinguni

221 1. E’mtoto, yainue macho yako mbinguni! Bwana Yesu huko juu, kwa upendo akuone.   2.Ukiomba asikia, akulinda mashakani; na anakuandalia kao zuri huko...

223 NI UHERI bora kumwamini

 223 1. Ni uheri bora kumwamini Bwana Yesu kwa wakati wa ujana wetu, kabla hatujazionja dhambi na mashaka zinazoharibu roho zetu. Pambio: Ni uheri bora kumwamini...

225 LO! bendera mbele yako

225 1. Lo! Bendera mbele yako, usihofu sasa! Usimame kwa imara kama Danieli! Pambio: Uwe mhodari kama Danieli! Weka makusudi mema bila kuogopa!   2. Wenye...

226 MACHO yangu ya kumtazama

226 1. Macho yangu kumtazama, masikio yakumsikia, na miguu yakumfuata Yesu, rafiki yangu!   2. Roho yangu inapenda Yesu, na ulimi unamshukuru, kwa mikono namtumikia...

227 MUNGU aliye mbinguni alitupa kiongozi

227 1. Mungu aliye mbinguni alitupa kiongozi, naye ni rafiki wa watoto wote. Ukijua jina lake, ulitaje sasa hivi! Anapenda wote, hata wewe, nami. Pambio: Mbingu...