Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

3 KISIMA safi sana chatoka msalaba

1. Kisima safi sana chatoka msalaba, Kimetufungukia, chatusafisha vema. Twaweza kusikia sauti yake Yesu: ‘’Unifuate sasa kwa kiti cha neema!’’ Refrain: Kisima...

27 UNA uhodari leo wakumufwata Yesu hata ukichekwa sana

27 1. Una uhodari leo wa kumfuata Yesu, hata ukichekwa sana na kuteswa duniani?   2. Una uhodari leo kuwa mtu wake Mungu? Ukiona haya sana, kisha utaona nini?   3....

179 SIKU moja mavuno yataisha kabisa

179 1. Siku moja mavuno yataisha kabisa, baada ya hayo hukumu. Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, na hutasikia injili Refrain: Atakusanya ngano kwa furaha ghalani...

188 WENGI wakasema: ‘Bado’

188 1. Wengi wakasema: “Bado”, walipoitwa na Mwokozi, lakini tena wakaona wamechelewa kuokoka. Pambio: Njoo mbio, njoo mbio, Yesu akuita leo! Njoo...

194 USIKIE Bwana Yesu anakuita leo

194 1. Usikie Bwana Yesu anayekuita leo! Aliteswa, alikufa kwa ajili yako wewe. Pambio: Usikie Bwana Yesu! Anabisha mlangoni. Umfungulie moyo, umkaribishe sasa!...

195 TUNASIKIA leo habari

195 1. Tunasikia leo habari, inawaita watu wafike; watu wa hapa, watu wa mbali, wote wapate sasa wokovu!   2. Mtu wa dhambi uje upesi, Yesu angoja kukuokoa!...

196 USIEIFANYA bidii kabisa

196 1. Usiyefanya bidii kabisa, hutaingia mbinguni. Uikinge roho kwa neno la Mungu, usipotee milele! Njia ni nyembamba na mlango ‘dogo, ujitahidishe kuingia...

198 E’MTU mwenye kiu

198 1. E’ mtu mwenye kiu, ufike kwake Yesu, :/: upate maji ya uzima, hutaona kiu kamwe! Pambio: :/: Njoo kwa Yesu, uyanywe maji hai! Ufike, na utapewa uzima...

199 NJONI wote muteswao

 199 1. Njoni wote mteswao! Wote wenye sikitiko kwa ajili ya makosa, mje sasa kwa Mwokozi! Kwake mtaona raha, utulivu na amani. Matulizo mioyoni mtapata kwake Yesu....

201 NJO mwenye huzuni nyingi

201 Njoo, mwenye huzuni nyingi! Yesu anakungoja. Uje, atoe mzigo wako, ata’okoa wewe! Pambio Njoo, uliye na huzuni! Njoo kwa Mungu wa neema! Roho wa Mungu...

202 NJOO kwa Yesu Mwokozi

202 1. Njoo kwa Yesu Mwokozi, unayeteswa rohoni! Damu iliyomwagika itakuosha kabisa. Pambio: Njoo kwa Yesu Mwokozi, naye atakuokoa! Ulimwenguni ni dhiki, kwake...

203 HATUA moja kati ya wewe na Mwokozi

203 1.Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi. Wakawilia nini? Ufike kwake leo! Pambio: Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae...

204 PENDO la Mwokozi kubwa mno

204 1. Hatua moja kati ya wewe na Mwokozi. Wakawilia nini? Ufike kwake leo! Pambio: Hatua moja, hatua moja, njoo akungoja! Njoo kutubu dhambi, atasamehe zote! Usikatae...

205 YESU Mwokozi aita kwapendo mimi na wewe na wote

205 1. Pendo la Mwokozi kubwa mno! Yesu akuita, ufike kwake sasa! Pambio: :/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:   2. Amengoja wewe siku nyingi, analia sana juu...

206 RAFIKI yangu tazama

206 1. Rafiki yangu, tazama, wapita njia ya wapi? Milele, je? utakaa wapi ukikataa Mungu? Pambio: Ujiandae sasa, utakutana na Mungu! Lazima uwe tayari kwa sababu...

207 UMGEUKIE Mwokozi

207 1.Umgeukie Mwokozi, jitenge na ovu na dhambi! Babako angoja ufike; usiangamie milele!   2. Kijana, unafurahia maisha na mambo ya nchi. Baada ya muda kitambo...

211 NJOO kwa Yesu

 211 1. Njoo kwa Yesu, usishangae! Akuonyeshe njia ya mbingu. Msikilize, anakusihi: Mtu wa dhambi, njoo! Pambio: Heri, heri, tutakusanyika kwake Mungu kwa furaha...

212 SAUTI ya Yesu niliisikia

212 1. Sauti ya Yesu niliisikia, kwa pendo aliniambia: “Ufike, nataka kukusaidia, nangoja, nangoja, ufike!” Pambio: Njoo kwa Yesu, ufike upesi, uupokee...

213 KAMA unataka kuwa mtu wake Yesu

213 1. Kama unataka kuwa mtu wake Yesu, kama unataka kufuata yeye, kama unataka yeye akusaidie: Mpe Yesu moyo wako! Pambio: Ataondoa dhambi zako zote, na utaipokea...

214 NAMTAFUTA mwana wangu

214 1. Namtafuta mwana wangu, mtoto yu wapi leo? Alienifurahisha mbele, ningali ninampenda. Pambio: Mwanangu yu wapi leo? Mwanangu yu wapi leo? Mwanangu, urudi,...

216 NAFASI ingaliko arusini

216 1. Nafasi ingaliko arusini ita’yokuwa kwake Mungu Baba. Njoo kwake, nafasi ingaliko!   2.Njiani mwako jua linakuchwa, jioni inakaribia sasa. Njoo...

228 WAKATI wa utoto wako

228 1. Wakati wa utoto wako, hujapoona shida bado, sauti ilikuambia: “Unipe sasa moyo wako!” Pambio: Wajua ni nani huyu anayekuita sasa? Ni Yesu, rafiki...

233 TAZAMA Mwokozi aliekufilia

233 1. Tazama Mwokozi aliyekufilia ili wewe upate uzima! Tazama, kwa pendo atakusaidia, usidumu dhambini daima! Pambio: Yainue macho! Tazama Mwokozi aliyekufilia,...

234 UTUKUFU wa mbinguni niwa heri na amani

234 1. Utukufu wa mbinguni ni wa heri na amani, dhambi hazitakuwamo. Vitu vyote vilivyomo ni vya tunu na thamani, dhambi hazitakuwamo. Pambio Dhambi hazitaingia...