Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

160 AHADI zote za Mungu wetu zanasimama hata milele

160 1. Ahadi zote za Mungu wetu zinasimama hata milele. Milima yote ikianguka, ahadi hazipunguki. Pambio: Ahadi zake zinasimama, hazipinduki hata milele. Ikiwa...

163 AHADI zote za Mungu zinasimama kweli

163 1. Ahadi zote za Mungu zinasimama kweli, na zilitiwa muhuri kwa damu yake Yesu. Pambio: Mbingu zikiondoka, nchi ikitoweka, ‘aminiye ‘taona: Ahadi...

285. NENO la Mungu ndani ya Biblia

285 1. Neno la Mungu ndani ya Biblia limetolewa na Mwenyezi Mungu. Biblia yetu inatuambia: Njoo kwa Yesu, Mkombozi wetu! Pambio: Neno la Mungu tulilolipewa, njia...