Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

65 HUKO ju’ ya nyota zote kuna chi yenye mema

65 1. Huko ju’ ya nyota zote kuna nchi yenye mema, Mji wake ni Yerusalemu; Dhambi haitakuwamo, wala kufa na huzuni, Kwake yesu nitapata kao. Pambio: Sikitiko...

66 WAKRISTO wa nchi zote watakusanyika huko kwa Yesu

66 1. Wakristo wa nchi zote watakusanyika huko mbinguni kwa Yesu, mezani pake, kati’ ufalme wake; kuona uzuri wake, kujazwa neema yake. Wataimba huko ju’...

68 MBINGUNI kwa Mwokozi wangu mwema nitaamka asubuyi moja

68 1. Mbinguni kwa Mwkozi wangu mwema nitaamka asubuhi moja, Nitayaona majeraha yake, sauti yake nitaisikia.   2. Makao ya milele ni tayari, ali’waandalia...

69 JE, Tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordani

69 1. Je, tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordani, na pamoja na wakristo ‘ona raha ya milele? Pambio: Tuonane, tuonane huko ng’ambo ya bahari!...

70 KUNA mji uko juu

70 1. Kuna mji huko juu, umejengwa naye Mungu, humo kuna mto ‘moja wenye maji mazima kabisa. Pambio: Tutakusanyika huko kwa raha penye mto mwema sana, tutakusanyika...

75 NILIE msafiri

75 1.Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu. Pambio: Kwangu...

77 NAIFUATA njia ya ku’fikia mbingu

77 1. Naifuata njia ya kufikia mbingu na mji mwema ule alio’jenga Mungu. Ninasafiri sasa kutoka duniani nifikie nchi hiyo ya raha na uzima. Pambio: Naifuata...

80 ZITAKAPOTIMIA siku zahuduma yangu nitaona asubuhi ya uzima

80 1. Zitakapotimia siku za huduma yangu, nitaona asubuhi ya uzima. Huko juu mbinguni nitamwona Bwana Yesu, Na karibu yake nitaisikia. Pambio: Nitamtambua yeye,...

82 NINAJUA chi nzuri

82 1. Ninajua nchi nzuri, huko Mungu alifanya nyumba na makao kwetu; natamani kufikako. Pambio: Mbinguni, kao la malaika! Mbinguni, vyote vinamulika! Mbinguni Mungu...

83 NINAJUA nchi uko juu

83 1. Ninajua nchi huko juu, hapo Mungu alijenga mji, na aita ‘moma moja kwake, waliomaliza mwendo huku. Pambio: Shida, kufa na huzuni hazitakuwapo huko....

84 NINAKUMBUKA sayuni

84 1. Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni, bahari kama kioo na’furahia rohoni. Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu, nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza...

85 TWAPASHA habari ya mbinguni

85 1. Twapasha habari ya mbingu, mahali pa watu wa heri, na tunatamani ku’ona ufuko wa nchi ya mbingu. Pambio: Sikitiko, wala shida hazitakuwapo mbinguni....

86 TUTAONA furaha mbinguni

86 1. Tutaona furaha mbinguni, ni makao ya watu wa heri. Tutakuwa pamoja na Mungu na kusifu Mwokozi wetu. Pambio: Tutafurahi na tutaabudu huko juu kwake Mungu....

87 MWSHO wanjia ya Mungu ni mbingu

87 1. Mwisho wa njia ya mkristo ni mbinguni; Yesu ananiongoza salama. Kama shetani akinijaribu nakitazamia kifiko. Pambio: Kwetu mbinguni hatutatawanyika, dhambi...

97 BADO kidogo juwa litapanda

97 1. Bado kidogo jua litapanda, siku tuta’pofika huko juu. Huko mbinguni tutapumzika na’pata raha na furaha ya milele. Pambio: Tutamlaki Bwana Yesu...

258. MIKUTANO kubwa gani mlimani

258 1. Mkutano ‘kubwa gani mlimani mwa Sayuni asubuhi ya milele? Hawa walinunuliwa tena walitakasiwa, wawe malimbuko kwa Mwokozi.   2.Hata kufa huku...

259. NAFIKIRI siku tutakayofika huko kwetu

259 1. Nafikiri siku tutakayofika mbinguni huko kwetu, na malaika kwa furaha watatukaribisha. Pambio: Wataimba wimbo wakutupokea: “Karibuni! Karibuni wote...

260. MWENYEZI amejenga mji

260 1. Mwenyezi amejenga mji, Mfalme wa huko ni Yesu, Yohana aliouona kushuka kutoka mbinguni. Ukuta ukawa wa jaspi, na njia ya dhahabu safi. Wakati nitakapohama,...

261. MSAFIRI uliye njiani

261 1. Msafiri uliye njiani, watamani nyumba ya babako. Sikiliza nyimbo za mbinguni! U karibu sana kufikako. Pambio: Utakuwako huko, katika mkutano wa wakristo huko...

264. E’MSAFIRI jangwani

264 1. E’ msafiri jangwani, tazama juu mbinguni! Hapo utaona nyota za faraja na tumaini. Pambio: Huko hutayaona machozi wala shida. Mungu atatuliza msafiri...

293. NCHI nzuri ya raha ajabu

 293 1. Nchi nzuri ya raha ajabu, kwa imani twaona si mbali. Baba atungojea sababu ametuandalia mahali. Pambio: :/: Tukutane sisi sote huko juu nyumbani mwa Baba!:/:...