111 E’YESU sitasahau uchungu wako ‘kubwa
111
1. E’ Yesu, sitausahau uchungu wako kubwa, ulipoteswa Gethsemane usiku peke yako.
Pambio:
Mateso uliyoyaona, uchungu na machozi, Usiku ule Gethsemane,...
113 MSALABANI Mwokozi wangu alijitoa kuniokoa
113
1. Msalabani Mwokozi wangu alijitoa kuniokoa, na damu yake ilimwagika kwa’jili yangu, kunikomboa.
Pambio:
E’ Golgotha, e’ Golgotha, alipoteswa...
229 MWOKOZI Mfalme, ulisulubiwa
229
1. Mwokozu Mfalme, ulisulibiwa, e’pasaka wetu, ulidhihakiwa. Ukatoka damu, ‘kaona uchungu ulipotimiza mapenzi ya Mungu. Huku Gethsemane ulihuzunika,...
231 MWOKOZI alitoa damu kwa’ jili ya waovu
231
1. Mwokozi alitoa damu kwa’jili ya waovu, msalabani alikufa kuniokoa mimi.
Pambio
E’ Yesu, niokoe sana, nifunze kuamini! Na unilinde tena, Bwana,...
291. MIMI mwenye hatiya nilikombolewa
291
1. Mimi mwenye hatia nilikombolewa, Mwokozi alipojitoa. Dhambi zangu na zako alizichukua, kwa damu aliniokoa.
Pambio:
Dhambi zimetundikwa msalabani alipojitoa,...