Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

93 SIKU chache

93 1. Siku chache, na tena wakristo watakwenda kumwona Mwokozi, siku chache na wataipewa thawabu na taji ya uzima. Pambio: Nangoja sana Bwana Yesu kama zamu angojavyo...

94 LO! nuru inapambazuka

94 1. Lo! Nuru inapambazuka, na vivuli vya usiku vyakimbia; unaulizwa: U tayari? Yesu yuaja upesi! Pambio: Na kama vile ‘pepo uvumavyo po pote, habari iendavyo...

95 NCHI nzuri yatungoja

95 1. Nchi nzuri yatungoja huko juu ya mawingu, watakapokusanyika wateule. Siku zina’tubakia zinapita mbio sana; waminifu watarithi nchi nzuri. Pambio: :/:...

98 SIKU moja tutaona Utukufu wake Yesu

98 1. Siku moja tutaona utukufu wake Yesu, kama nuru ya umeme atakavyoonekana. Pambio: Uhubiri neno lake, kwa bidi’ mahali pote! Siku ni karibu sana; Bwana...

99 SIKU moja nitamuona Bwana Yesu

99 1. Siku moja nitamwona Bwana Yesu uso wake. Na milele kwa furaha nitaka’ karibu naye. Pambio: Nitamtazama Yesu ju’ ya nyota zote pia, huko kwa ukamilifu...

101 E’MLINZI twauliza: ”Yesu atakuja lini?

101 1. E’ mlinzi, twauliza: Yesu atakuja lini? Asubuhi ya sayuni ni karibu? Tuambie! Msafiri, yainue macho yako, angalia! Asubuhi ni karibu, usimame, usimame!...

257. SIKU ya kuisikia parapanda

257 1. Siku ya kuisikia parapanda yake Mungu, ikiita wateule wake wote, kwa neema tutakaribishwa na Mwokozi wetu katika kutano kubwa huko juu. Pambio: Tutakaribishwa...

290. BARAGUMU litalia sana

290 1. Baragumu litalia sana, watu wote watalisikia. Waliokufa watafufuka na wazima watabadilika. :/: Nani anayeweza? Yesu, mweza yote. :/:   2. Na wenye...