Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

30 TARUMBETA lake Kristo linalia pande zote

30 1. Tarumbeta lake Kristo linalia pande zote, na wakristo wote wanajipanga vita ju’ ya mahodari wa shetani. Kweli tutashinda, kwani Yesu yupo mbele. Pambio: Twende,...

74 MGENI mimi hapa mahali pa ugeni

74 1. Mgeni mimi mahali pa ugeni, na kwenda mbali mno katika nchi nzuri. Na ni mjumbe huku kutoka Mungu wetu, nina habari ya Mfalme. Pambio: Habari yake nzuri sana,...

114 IMBA habari njema: Mungu apenda wote

114 1. Imba habari njema: Mungu apenda wote! Uihubiri damu ituponyayo roho! Taja karama kubwa: Mwana alitujia, pasha habari hiyo kwa kila mtu! Pambio: Yesu msalabani...

174 PENDO kubwa la Babangu linang’aa siku zote

 174 1. Pendo kubwa la babangu linag’aa sikuzote, walakini anataka sisi tuwe nuru huku! Pambio: Nuru yetu iangae mbele ya wenzetu huku, hata mtu ‘moja...

175 SHAMBA la Mungu limeiva

175 1. Shamba la Mungu limeiva, litayari sasa kuvunwa. Wavunaji mfike mbio kuyavuna mavuno yake! Pambio: Bwana Yesu, twakuomba, uwatume watenda kazi wakusanye miganda...

176 MUNGU akutaka kati’ shamba lake

176 1. Mungu akutaka kati’ shamba lake, nenda na wengine kumtumikia! Ujitowe kweli kwake Mungu wetu! Uhubiri neno lake pande zote!   2. Ukumbuke Yesu,...

178 YESU kutoka mbinguni aliingia huku nchi

178 1. Yesu kutoka mbinguni aliingia huku chini ya giza na dhambi, ili atuokoe. Pambio: Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno...

180 BWANA Yesu anatuuliza: ”Nimtume nani mavunoni?”

180 1. Bwana Yesu anatuuliza: “Nimtume nani mavunoni? Watu wenye dhambi wapotea, watolee Neno la neema! ” Pambio: “Mungu wangu, sema nami! Uniguze...

182 KISA cha kale nipe

 182 1. Kisa cha kale nipe, habari ya mbinguni, ya Bwana Mtukufu, ya pendo lake Yesu! Niambie neno lake, nipate kusikia, mnyonge mimi huku, mjinga, mkosaji. Kisa...

183 PANDA mbegu njema

 183 1. Panda mbegu njema, anza asubuhi, na uwaokoe watu wa shetani! Kwa wakati wake vuno litaivya, chumo utapata kwa furaha kuu. Pambio: :/: Twende tukavune,...

184 NITAKWENDA mahali pa giza

184 1. Nitakwenda mahali pa giza na dhambi kuhubiri Injili ya nuru, ili watu wasiosikia habari wafahamu upendo wa Yesu. Pambio: Nitakwenda mahali pa giza na dhambi,...

185 NEHEMA kubwa ya Mungu wetu

185 1. Neema kubwa ya Mungu wetu: Alikutuma kwa kazi yake kwenda kuzipanda mbegu njema katika roho za wenzako! Pambio: Nenda, E’ mvunaji, nenda, e’mvunaji!...

186 FANYIA Mungu kazi

186 1. Fanyia Mungu kazi, mbio usiku waja! Mtumikie Mungu siku zako zote! Anza mapema sana, dumu mchana kutwa! Mbio usiku waja, kazi itakwisha.   2. Fanyia...

187 TUWAVUNAJI wake Mungu

 187 1. Tu wavunaji wake Mungu, kwa neno lake tunakwenda kuvuna ngano zake Yesu alizojinunulia. Kwa shangwe tunaliingiza ghalani mwake vuno lake. Tunamsifu Yesu...

209 UWATAFUTE wanao potea

209 1. Uwatafute wanaopotea, na kwa upendo watoe dhambi! Lia pamoja na wenye huzuni, uwapeleke kwa Yesu Mwokozi! Uwatafute wanaopotea! Yesu Mwokozi awahurumia.   2....

210 IMBA injili ya Yesu kwa moyo na roho kabisa

210 1. Imba injili ya Yesu kwa moyo na roho kabisa! Lango la neema yake ni wazi kwa watu wote. Pambio: Imba, imba injili, na watu wasikilize! Imba injili ya Yesu,...

244 SAFARI yangu huku ikiwa hatarini

244 1. Safari yangu huku ikiwa hatarini, na ikipita katika giza na jaribu, najua kwa hakika: Mwokozi yu karibu, ninamfuata mahali po pote. Pambio: Nikiwa pamoja...

269. KATIKA bonde na milima

269 1. Katika bonde na milima, kwa mataifa mahali pote, peleka neno la wokovu! Msifu Yesu sana! Pambio Msifu Bwana, msifu Bwana! Na tangazeni neno lake, ‘sifuni...

270. SIMAMA fanya vita pamoja na Mfalme

270 1. Simama, fanya vita pamoja na Mfalme! Bendera tuishike iliyo ya Mwokozi! Mwenyezi huongoza majeshi yake huku. Adui wote pia washindwa mbele yake.   2....

271 UWATAFUTE wenzako wapoteao mbali

271 1. Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Yesu mwenyewe apenda kuwaokoa wote. Pambio Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Pasha habari ya Yesu na ya wokovu wake!   2.Uwatafute...

272. NANI ni wa Yesu

271 1. Nani ni wa Yesu? Amtumikie! Atafute watu na kuwahubiri! Nani anataka kujitoa leo, kufuata Yesu katika mateso? Pambio Nani ni wa Yesu? Amtumikie! Nani atakaye...