Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

4 USIKU kabla yakuteswa

1. Kabla ya kuteswa, Yesu Alikusanya wanafunzi wake;¬†Alifahamu kwamba saa yake ya kutolewa ilikaribia.   2. Kwa roho aliona gethesemane, Meteso yake na huzuni...

43 JUU ya mwamba umejenga kanisa lako duniani

43 1. Juu ya mwamba umejenga kanisa lako duniani, umeliweka huru kweli katika damu yako, Yesu. Pambio: Juu ya mwamba, juu ya mwamba huru na safi umelijenga. Juu...

60 NIHERI kuona ndugu njiani pa kwenda mbinguni

60 1. Ni heri kuonga ndugu njiani pa kwenda mbingu. Tukinyong’onyea sana kwa kuwa tu peke yetu, kushirikiana kwa ndugu kunaturudisha moyo, na Mungu atupa nguvu...

61 ENYI wetu wa Sayuni

61 1. Enyi watu wa Sayuni, kundi dogo la Mwokozi, Yesu aliwanunua kuwa mali yake Mungu. Sasa mnapita njia ya miiba na hatari kati’ nchi ya ugeni; bali mbingu...

172 SISI tu viungo vya mwili’ moja

172 1. Sisi tu viungo vya mwili ‘moja, tunasaidiana. Utumishi wetu tunaupenda na twasaidiana. Twasaidiana sote, twasaidiana sote. Twamaliza kwa shangilio na...

200 NJONI wote

200 1. Njoni wote, mle, mnywe, Yesu anasema hivyo. “Nimetoa mwili wangu kwa ajili yenu ninyi.” Kila mtu mwenye njaa aje na apate kula! Na aliye na makosa...

279. UPENDO wake Mungu unatuunganisha

279 1. Upendo wake Mungu unatuunganisha. ‘Shirika wa watakatifu – uheri wa mbinguni.   2. Katika sala zetu twakaribia Baba kwa tumaini, ujasiri...