Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

181 TUTAZAME kule mbele

181 1. Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia....

193 NINENO zuri la ‘aminiwa

193 1. Ni neno zuri la ‘aminiwa, listahililo kukubaliwa, ya kwamba Yesu alitujia awaokoe wenye makosa.   2. Wa kwanza mimi wa wenye dhambi, lakini ninafurahi...

237 MWOKOZI wangu ni mwamba bora

237 1. Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima; zaniletea amani tele, na mibaraka daima. Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu. Nakaa humo, ninastarehe,...

245 MIKWAJU itiapo giza na kivuli

245 1. Mikwaju itiapo giza na kivuli katika nchi ya Bersheba ya zamani, alitembea Ibrahimu asubuhi, na maumivu na huzuni ni rohoni, kwa kuwa aliitwa na Mwenyezi...

248 YESU akiniongoza sitaanguka

248 1. Yesu akiniongoza sitaanguka, sitaanguka. Ni Mfalme mtukufu, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu. Pambio Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua,...

271 UWATAFUTE wenzako wapoteao mbali

271 1. Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Yesu mwenyewe apenda kuwaokoa wote. Pambio Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Pasha habari ya Yesu na ya wokovu wake!   2.Uwatafute...

273. NI uheri kumwamini Mungu

273 1. Ni uheri kumwamini Mungu kama Ibrahimu wa zamani. Hakutiwa shaka kwa uchungu, ila alitii kwa imani. Ni uheri kuendea sawa katika mapito ya sheria. Ukijaribiwa...

276. MATENDO ya Mungu yapita fahamu

276 1.  Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, ni nani ayaona wazi? Lakini najua mapito ya Mungu kwa mimi yafaa halisi.   2.Njiani sijui maana ya yote, lakini...

277. NITAOGOPA nini gizani duniani

277 1. Nitaogopa nini gizani duniani? Sikuachiwa peke’ mbali ya tumaini! Mwokozi yu karibu, asiyebadilika. :/: Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika:/: Pambio: Namshukuru...

282 UKIONA kiu sana ujalivu

 282 1. Ukiona kiu sana ujalivu wa Mwokozi, roho yake safi pia, liamini neno la babako na atakujazi, nawe utashangilia. Pambio: Atakujaliza hata utashiba. Bwana...