Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

9 NAIAMINI damu yako

1. Naiamini damu yako yesu na msalaba wako Yesu. Mwokozi wangu wa pekee napata yote, Napata yote kwako. Refrain :  Uliyoyahidi Na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha...

11 IKIWA wananiuliza msingi wa uzima

1. IKIWA wananiuliza msingi wa uzima je? twahitaji kuongeza kwa kazi yake Yesu? Kwa uhodari nitajibu: msingi wangu ni wa nguvu, ni damu yake Yesu Kristo inatosha...

24 E’MUNGU mwenye kweli

1. E’Mungu mwenye kweli, nakuamini sana, maneno yako yote, milele yata dumu ‘’niite kati’ shida nitakusaidia nategemea Bwana, ahadi yako hiyo.   2....

46 HAIFAI kuyasumbukia mambo yatakayokua kesho

46 1. Haifai kuyasumbukia mambo yatakayokuwa kesho. Baba yangu anajua yote, ni vizuri nikumbuke hivyo. Yeye mwenye moyo wa upendo ananipa yafaayo kweli, kama sikitiko...

48 SIWEZI mimi kufahamu sana neema yake Mungu kwangu

 48 1. Siwezi mimi kufaamu sana neema yake Mungu kwangu, zamani nilikuwa mkosaji, lakini alinisamehe. Pambio: Bali namjua Mungu, anayeweza kunilindia urithi wangu...

50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima √√

50 Sitasumbuka kwa kuwa mungu ananitunza daima, anachukua mizigo yangu nyakati zote za mwendo. Refrain: Sijaiona nyingine siku jana imetoweka na leo mungu anazijua...

52 KWASALAMA baba awalinda watu wake

52 1. Kwa salama Baba Mungu awalinda watu wake, hata nyota za mbinguni si salama kama wao.   2. Mungu awalinda hivyo katika upendo wake. Wanakumbatiwa naye,...

53 KATI’ mikono yake Yesu ananilinda katika pendo

 53 1. Kati’ mikono yake Yesu ananilinda. Katika pendo kubwa ninapumzika sana. Sasa sauti nzuri itokeayo juu inanikumbukia mbingu na raha yake. Pambio: Kati’...

54 USIOGOPE mateso yako

54 1. Usiogope mateso yako, Mungu anakulinda, bali tazama mapenzi yake, Pambio: Mungu anakulinda Mungu anakulinda siku kwa siku njiani mwake. Anakulinda salama....

78 NINAUZIMA wa milele

78 1. Nina uzima wa milele, na tumaini ni imara, mbinguni nitaona Yesu, Mwokozi wangu kwa furaha.   2.Nina urithi bora huko unaolindwa hata mwisho. Na kila...

96 MWOKOZI wetu aliahidi yakwamba atakuja siku moja kutupeleka

96 1. Mwokozi wetu aliahidi ya kwamba atakuja siku moja kutupeleka mbinguni kwake. Yawezekana upesi sana. Pambio: Sioni shida, nina amani kwa Mkombozi na damu yake,...

100 LO! Bendera inatwekwa

100 1. Lo! Bendera inatwekwa, yatutangulia! Tusione hofu, wenzi, twende kwa kushinda! Pambio: Bwana Yesu atakuja, tuilinde ngome! Kwa uwezo wake Yesu tutashinda...

115 PENDO la Mungu ni kubwa

115 1. Pendo la mungu ni kubwa, pasha habari hiyo! pendo la Mungu ni kubwa, mwanzo wa nyimbo zote. malaika waliimba wachunga wakasikia. tunafurahi kujua pendo la...

131 MIMI mukristu

131 1. Mimi mkristo nita’vyokuwa katika yote mpaka kufa. Mimi mkristo, ‘navyoshuhudu, dunia yote ikinicheka. Mimi mkristo kwa moyo wote sababu ninampenda...

140 UKICHUKULIWA na mashaka yako

1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake. Pambio: Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki!...

147 MWENYEZI Mungu wazamani

1. Mwenyezi Mungu wa zamani zote ni kimbilio la vizazi vyote. Katika vita anawashindia na ku’okoa watu wake wote. Pambio Mfalme ‘kubwa ndiye Mungu,...

150 NATAKA kupokea baraka yake Mungu

1. Nataka kupokea baraka yake Mungu, nataka kubatizwa kwa Roho ‘takatifu. Ju’ ya ahadi yake napumzika sana, aliahidi mimi kupata Roho yake. Pambio: ...

154 E’RAFIKI shaka zako zipeleke kwake Yesu

154 1. E’rafiki, shaka zako zipeleke kwake yesu! Aliyemwamini yey hataona haya kamwe. Refrain: Naamini, naamini, ninakuamini, yesu. Naamini, naamini, naamini...

155 KATIKA matumaini kwa Mungu wangu nakaa katika raha na utulivu

155 1. Katika matumaini kwa Mungu wangu nakaa katika raha na utulivu. Na yeye ni mwamba wangu, imara sana; katika dhoruba zote ananilinda.   2. Mwenyezi ni...

156 WALIAMINIO neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji

156 1. Waliaminio neno lake Mungu watapata nguvu kuwa washindaji, kwani Bwana Yesu alituahidi atathibitisha neno kwa ishara. Pambio: Shinda, shinda, nguvu ya kushinda!...

161 UMESHIRIKIANA naye Yesu? kama tawi ndani yake mzabibu?

161 1. Umeshirikiana naye Yesu kama tawi ndani yake mzabibu? Una raha iliyo timilifu, umejazwa Roho yake ‘takatifu? Pambio: Umeshirikiana naye Yesu kama tawi...

164 IZRAELI wake Mungu

164 1. Israeli wake Mungu, kimya sana, wa’zunguka Yeriko kwa imani. Malaika wake aliwaongoza, na waliendelea kwa kushinda. Pambio: Twende kwa kushinda, twende...

166 TUKIENDA pamoja

 166 1. Tukienda pamoja, tukishikamana na Mungu, tunapata amani na raha; tukifanya daima yanayompendeza, yu karibu kutusaidia. Pambio: Raha, furaha twazipata kwa...

168 NINA mshirika nafuraha kubwa

168 1. Nina ushirika na furaha kubwa, namtegemea Bwana Yesu. Wingi wa uheri kwa waaminio: Kustarehe mikononi mwake! Pambio: Raha, raha, raha kwa Yesu na amani!...

169 ASKARI wa imani sisi

169 1. Askari wa imani sisi, kwa shangwe tunaendelea, hata vita ‘kiwa kali tuna nguvu na ‘hodari. Tuna upanga wa imani, ni neno lake Mungu wetu; na kwa...