Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

2 KIJITO kiko chenye damu itokayo Mwokozi

1.  Kijito kiko chenye damu Itokayo Mwokozi, Kiwaoshacho wakosao     :|: Na dhambi na uchafu :|: 2. Msalabani mnyang’anyi Alikiona hima. Mnyonge mimi kama...

5 DHAHABU na feza haziniokoi

1. Dhahabu na fedha haziniokoi, Hazina na mali haziponyi roho, Lakini kwa damu ya Yesu mwokozi nimenunuliwa nipate uhuru. Refrain : Nimekombozwa pasipo mali, kwa...

8 YESU KRISTO asifiwe!

 1. Yesu Kristo asifiwe! Alizichukua dhambi, Ne’ma inatoka kwake kati’ damu. Umeosha moyo wako, umekuwa safi, huru umeondolewa dhambi kati’ damu? Refrain: :|:...

10 DAMU yako yenye baraka inayotuosha makosa

1. Damu yako yenye baraka Inayotuosha makosa.   Ilitoka musalabani, Bwana YESU, alipokufa alipokufa.   Nastahili pata hukumu, Na siwezi mimi kujiosha.   Unioshe...

12 KWA badala yangu kweli Yesu alitoa damu

1. KWA badala yangu kweli Yesu alitowa damu. Mimi huru na ni heri, Bwana Yesu asifiwe! Refrain: Yesu alinikomboa, lakini Si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali damu...

13 NANI aweza kuniweka huru?

1. NANI aweza kuniweka huru? ni Yesu mwokozi, Yesu mwokozi! nguvu kushinda nipate kwa nani? kwa damu ya Yesu mwokozi! Refrain: Kuna nguvu, nguvu za ajabu kuu kati...

112 ULINDE roho na nafsi yangu chini ya damu

 112 1. Ulinde roho na nafsi yangu chini ya damu, chini ya damu! Makosa, hofu na shaka ziwe chini ya damu yako! Pambio: Chini ya damu yako, Yesu, ndani ya mto...