Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

319 Nafurahia wokovu niliopata kwa Yesu

1. Nafurahia wokovu niliopata kwa Yesu, nitasifu Mungu wangu daima huko mbinguni. Wokovu niliopewa, na unanirusha juu, kw’ajili ya shangwe kubwa, inayoimba...

320 Mungu aliacha sisi watu wake walimaji kwa dunia

1. Mungu aliacha sisi watu wake walimaji kwa dunia, aliweka mbegu kwa mikono yetu tuzipande katika watu. Pambio: Kazi yetu yote itapimwa, mwenye shamba ni Yesu...

321 Mwokozi mzuri ni Yesu Kristo, ninamshukuru sana

1. Mwokozi mzuri ni Yesu Kristo, ninamshukuru sana. Alinitafuta kwa njia mbaya, ni mali ya Yesu Mwana. Pambio: Kwa damu nafunguliwa, kwa damu nafunguliwa. Alitoa...

322 Nashika njia ya kwenda mbingu

1. Nashika njia ya kwenda mbingu, mimi msafiri duniani, naishi kwa taabu na mateso mengi. Bali nakaza mwendo nifike mbingu.   2. Ijapo shida zanizunguuka,...

329 Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami

1. Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami, nikutumikie na niende Sayuni. (2x) Pambio: :/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:   ...

330 Yesu alipoenda alituachia kazi

1. Yesu alipoenda alituachia kazi, na sasa tuifanye, kwani wakati wapita. Pambio: Uyainue macho, uyainue macho! Uyainue macho, uyatazame mavuno!   2. Usisimame...

331 Anayeshuhudia kwamba tutafika

1. Anayeshuhudia kwamba tutafika mbingu ni Roho wake Mungu, anayeweka tumaini la kufika mbingu ni Roho wake Mungu. :/: Tumwombe, tumtafute, Ni wetu Yesu alisema...

332 Sawa na wapitaji wa dunia

1. Sawa na wapitaji wa dunia. Tunapita huzuni na shida. Siku moja tutaongozwa naye, hata huko mbinguni kwa Baba. Pambio: Sawa nyota za mbingu tutang’aa, kwa...

333 Sisi huku si matajiri, kwani miaka yapita

1. Sisi huku si matajiri, kwani miaka yapita. Mara nyingi twapata shida, kwani miaka yapita. Tukimwamini Yesu na kumtumikia, tutapata thawabu, kwani miaka yapita....

334 Majira yatuonyesha kwamba

1. Majira yatuonyesha kwamba Yesu yu karibu, ahadi sasa zatimia; tujitayarishe mioyoni. Pambio: :/: Tujiandae sasa, na tujiweka tayari. :/:   2.Dunia yameremeta...

335 Nitafanya nini mimi, siwezi kitu?

1. :/: Nitafanya nini mimi, siwezi kitu?:/: Siwezi kujiokoa, siwezi kujisafisha, siwezi kujigeuza, siwezi kujirefusha, siwezi kujifupisha, na sitajisaidia. Naomba...

222 BWANA Yesu amesema

1.Bwana Yesu anasema: “Dhaifu wewe sana. Mimi ni mchunga mwema”. Na kwa hiyo namwandama. Pambio: Yesu alikufa kwa ajili yangu, aliziondoa dhambi, furaha...

1 E’YESU mshindaji wa Golgotha

1. E’ Yesus, Mshindaji wa Golgotha, twakusifu! Bendera ya mapenzi ni Alama ya Kushinda. Ulichukua dhambi zetu juu ya msalaba wako. Twakuhimidi, Bwana na Mfalme!...

2 KIJITO kiko chenye damu itokayo Mwokozi

1.  Kijito kiko chenye damu Itokayo Mwokozi, Kiwaoshacho wakosao     :|: Na dhambi na uchafu :|: 2. Msalabani mnyang’anyi Alikiona hima. Mnyonge mimi kama...

3 KISIMA safi sana chatoka msalaba

1. Kisima safi sana chatoka msalaba, Kimetufungukia, chatusafisha vema. Twaweza kusikia sauti yake Yesu: ‘’Unifuate sasa kwa kiti cha neema!’’ Refrain: Kisima...

4 USIKU kabla yakuteswa

1. Kabla ya kuteswa, Yesu Alikusanya wanafunzi wake; Alifahamu kwamba saa yake ya kutolewa ilikaribia.   2. Kwa roho aliona gethesemane, Meteso yake na huzuni...

5 DHAHABU na feza haziniokoi

1. Dhahabu na fedha haziniokoi, Hazina na mali haziponyi roho, Lakini kwa damu ya Yesu mwokozi nimenunuliwa nipate uhuru. Refrain : Nimekombozwa pasipo mali, kwa...

6 TWA’SIFU Mungu kwa ajili ya damu takatifu

 1. Twa’sifu Mungu kwa ajili ya damu takatifu, Inayotosha kuonda makosa yetu yote.   2.Wakristo wanakusanyika karibu ya kisima, hawapunguki kitu kanwe, wakaa...

7 MWOKOZI ameutimiza wokovu kwa neema kubwa

1. Mwokozi ameutimiza wokovu kwa neem kubwa, Na juu ya mwamba wa Neno la Mungu Najenga imani. Refrain: Aliniokoa kabisa! Kwa damu alinisafisha. Ninamshukuru...

8 YESU KRISTO asifiwe!

 1. Yesu Kristo asifiwe! Alizichukua dhambi, Ne’ma inatoka kwake kati’ damu. Umeosha moyo wako, umekuwa safi, huru umeondolewa dhambi kati’ damu? Refrain: :|:...

9 NAIAMINI damu yako

1. Naiamini damu yako yesu na msalaba wako Yesu. Mwokozi wangu wa pekee napata yote, Napata yote kwako. Refrain :  Uliyoyahidi Na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha...

10 DAMU yako yenye baraka inayotuosha makosa

1. Damu yako yenye baraka Inayotuosha makosa.   Ilitoka musalabani, Bwana YESU, alipokufa alipokufa.   Nastahili pata hukumu, Na siwezi mimi kujiosha.   Unioshe...

11 IKIWA wananiuliza msingi wa uzima

1. IKIWA wananiuliza msingi wa uzima je? twahitaji kuongeza kwa kazi yake Yesu? Kwa uhodari nitajibu: msingi wangu ni wa nguvu, ni damu yake Yesu Kristo inatosha...

12 KWA badala yangu kweli Yesu alitoa damu

1. KWA badala yangu kweli Yesu alitowa damu. Mimi huru na ni heri, Bwana Yesu asifiwe! Refrain: Yesu alinikomboa, lakini Si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali damu...

13 NANI aweza kuniweka huru?

1. NANI aweza kuniweka huru? ni Yesu mwokozi, Yesu mwokozi! nguvu kushinda nipate kwa nani? kwa damu ya Yesu mwokozi! Refrain: Kuna nguvu, nguvu za ajabu kuu kati...