Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

25 MVUA yambingu unyeshe

image_pdfsauvegarder en PDF-Saveimage_printImprimer-Print

25

1. Mvua ya mbingu unyeshe, kama ulivyo ahidi! Juu ya dunia yote inye kutubarikia!

Pambio
Mvua ya mbingu, mvua ya mbingu utume! Utunyeshee neema, tunakuomba, e’ Mungu!

2. Mvua ya mbingu unyeshe, ituamshe na sisi! Ju’ya vilima na bonde mvua ya mbingu ifike!

3. Mvua ya mbingu unyeshe katika dunia yote! Watu wa Mungu wapone, mbegu za roho ziote!

4. Mvua ya mbingu unyeshe, tunapokuelekea! Utujalie baraka tunakuomba, e’ Mungu!

One Response to “25 MVUA yambingu unyeshe”

 1. 15/07/2017 at 4:49 pm #

  Nawasalimi katika Jina jema la Yesu Kristo,

  Naitwa Nkiko Michel, Mtu Kutoka Congo, Sud-Kivu, Murenge.

  Nalifurahi sana nilipo angukia tovuti yenu mtandaoni.
  Hakika mulifanya kazi nema,

  Nitashirikiana nanyi kwa upendo, Na mupenda bwana Yesu na nyimbo hizi za wokovu zimo moyoni mwangu, nazipenda sana.

  ningetaka kuuliza asili ya wimbo AHADI ZOTE ZAMUNGU. mwaweza kuwa numa jua inspiration ilikua gani.

  Asanteni, tutazungumza mengi, Neema ya Yesu.

Leave a Comment