Digg StumbleUpon LinkedIn YouTube Flickr Facebook Twitter RSS Reset

24 E’MUNGU mwenye kweli

image_pdfsauvegarder en PDF-Saveimage_printImprimer-Print

1. E’Mungu mwenye kweli, nakuamini sana, maneno yako yote, milele yata dumu ‘’niite kati’ shida nitakusaidia nategemea Bwana, ahadi yako hiyo.

 

2. Na katika uchungu ni heri kuamini kuamini, naweka roho yangu kulindwa nawe, baba, uliye nifundisha kuita jina lako; naona tumaini na tegemeo kwako!

 

3. Ninavyoomba kweli, najuwa wasikia. Yalioyo mema kwangu, najuwa wayafanya. Katuka shida kali waweza kunilinda; wanichukuwa mimi na masumbuko yangu.


3 Responses to “24 E’MUNGU mwenye kweli”

 1. 08/03/2016 at 5:32 pm #

  Tuna shukuru tena saana kwa kazi zenu mtandaoni.
  Mwenyezi Mungu awazidiye neema yake mara dufu.
  Asanteni tena

  Paul.

 2. kalulika désiré
  26/11/2016 at 1:18 pm #

  ”Ceux qui auront été intelligents brilleront comme la splendeur du ciel, et ceux qui auront enseigné la justice, à la multitude brilleront comme les étoiles, à toujours et à perpétuité.” Daniel 12:3. Ndugu mpendwa, haya maandiko yatimilike maishani mwako kwa kazi ya Mungu unayo ifanya. Na tena Mungu aichunge imani yako kwake kwa siku zako za maisha. kama siyo siri, nitumiye number yako ya simu.

Leave a Comment